Dkt Mpango ajiuzulu nafasi zake za utumishi wa umma.

Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango ameamua kujiuzulu kwa hiari kutoka kwenye nafasi zake za utumishi wa umma baada ya kuhudumu kwa miaka mingi katika nafasi mbalimbali za serikali.

Dk Mpango ameshawahi kufanya kazi katika taasisi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tume ya Mipango, na kama Waziri wa Fedha na Mipango. Pia amefanya kazi kwa miaka mingi kwenye Benki ya Dunia (WB).

Dk Mpango alisema “Nimefanya uamuzi huu kwa makini watanzania ni zaidi ya milioni 64 na nina imani kuwa kuna vijana wenye uwezo wa kuchukua jukumu hili kwa ufanisi chaguo la chama chetu ni sahihi”.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshatangaza Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *