Baada ya Arsenal kutolewa mzunguko wa kwanza klabu za Liverpool na Chelsea hazijafanikiwa kufuzu raundi ya tatu ya mashindano hayo baada ya kutolewa katika raundi ya pili.

Liverpool imejikuta ikitokewa ugenini dhidi ya Plymouth Argyle (1-0) huku Chelsea wakitolewa ugenini dhidi ya Brighton (2-1).

Manchester United na Manchester City wamefanikiwa kufuzu hatua inayofata huku Tottenham Hotspurs wakitolewa na Aston Villa katika raundi ya pili ya mashindano hayo.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *