Mashabiki Arsenal wachukizwa timu yao kutosajili.

Dirisha la usajili barani Ulaya limefungwa rasmi na vilabu mbalimbali vimefanikiwa kusajili maeneo muhimu wanayohitaji ili kuweza kushindana kwenye mzunguko wa pili wa mashindano wanayoshiriki.

Usajili huo umekuwa wa neema kwa baadhi ya vilabu ila umekuwa mchungu kwa klabu ya Arsenal ambayo imejikuta ikiondoka patupu kwenye dirisha hilo licha ya kuhusishwa na wachezaji mbalimbali.

Mashabiki wa timu hiyo wameonekana kukasirishwa na uongozi wa klabu hiyo huku wengi wakiona hawapo makini licha ya kupoteza wachezaji Bukayo Saka na Gabriel Jesus bado timu hiyo haijasajili.

Macho ya wengi ni kuona jinsi gani Arsenal itamaliza msimu wake ikiwa wengi wakitarajia Arsenal kubeba kombe lolote msimu huu kuwa moja ya mafanikio ya project yao.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *