Shirika la WHO lapunguza bajeti baada ya Marekani kujitoa.

Shirika la Afya duniani (WHO) linatarajia kupunguza kiasi cha dola milioni 400 za bajeti yake kufuatia uamuzi wa Marekani kujitoa katika Shirika hilo.

Kuelekea kikao cha Shirika hilo cha kila mwaka cha bodi ya utendaji nyaraka zilizotolewa zinaonyesha kuwa Shirika hilo linapanga kupunguza fedha za kugharamia miradi kutoka dola bilioni 5.3 hadi bilioni 4.9.

Kiwango hicho ni sehemu ya mapendekezo ya bajeti ya WHO kwa mwaka 2026/2027 ya kiasi cha dola bilioni 7.5 inayojumuisha miradi ya kutokomeza ugonjwa wa Polio na dharura nyingine za kiafya.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *