TLS yasisitiza kuendelea kushirikiana na Serikali.

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema chama hicho kinaposhirikiana na Serikali haimaanishi kuwa wanalamba asali na wao sio magaidi.

Akizungumza hayo kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini yanayofanyika viwanja vya Chinangali Park, Dodoma ambapo mgeni rasmi akiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

“Tunapata changamoto watu wanapoona tukishirikuana na Serikali, wanafikiri tunalamba asali. TLS si kikundi cha magaidi, kwa hiyo sehemu ya kuonya tutaonya kwa haki, yakupongeza tutapongeza kwa haki, yakushiriki kufanya kazi tutashiriki pamoja, kulijenga taifa letu na kumhudumia Mtanzania,” alisema Wakili Mwabukusi.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *