Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limeomba Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kibali cha ujenzi wa njia ya kusambaza gesi asilia yenye urefu wa mita 30 kutoka bomba la usambazaji wa gesi asili iliopo barabara ya Bagamoyo hadi kituo cha PUMA kilichopo Mbezi Beach Manispaa ya Kinondoni , Mkoa wa Dar es Salaam.

Mshirikishe Mwingine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *